Kiṯabu cha Chusomeni Kibajuni ni sehemu a juhudi a
kulindra na kuimarisha uṯamaduni wa Vabajuni.
Kiṯabu hiki huanḏama kanuni dha CBC ili kuvawedhesha
vasomaji kumakinika ndrani na inde a darasa vachumiapo
Kibajuni.
Baadhi a mambo aliyomo kachika Kiṯabu cha
Giredi ya 3:
• Vanyama va Mwichuni
• Usalama Barabarani
• Kadhi Mbalimbali
• Machumidhi