Mashairi ya Mohamed Kombo The following audio recordings are by Mohamed Kombo, one of the foremost Bajuni poets.
Mashairi ya Vugo Unani rafiki yangu, mbona undokwonda hiya Metokwa na michilinga, kwa fikira dha dunia Mwanamume ni ntudhi, kila ncho huchovea Wahaiba wahaiba, nyuka chwandame upepo, Matilaba matilaba, ni hapo chuvonanapo Ukishiba ukishiba, ndripo akili iyapo Sitoshona sitoshona, sanda mahaba kadhika Kavechea wenzangu, wasije wakaniteka Sina nyonda sina nyonda, na kiva nalo