Chusomeni Kibajuni Giredi ya Pili

Kiṯabu cha Chusomeni Kibajuni ni sehemu a juhudi a
kulindra na kuimarisha uṯamaduni wa Vabajuni.
Kiṯabu hiki huanḏama kanuni dha CBC ili kuvawedhesha
vasomaji kumakinika ndrani na inde a darasa vachumiapo
Kibajuni.
Baadhi a mambo aliyomo kachika Kiṯabu cha
Giredi ya 2:
• Sikuli
• Sikuli
• Mayi
• Uswafi
• Usalama
Mwongodho wa Mwalimu
Kiṯabu hiki ni mwongodho wa Chusomeni Kibajuni na ni
sehemu a juhudi a kulindra na kuimarisha uṯamaduni wa
Vabajuni.