Unani rafiki yangu, mbona undokwonda hiya
Metokwa na michilinga, kwa fikira dha dunia
Mwanamume ni ntudhi, kila ncho huchovea
Wahaiba wahaiba, nyuka chwandame upepo,
Matilaba matilaba, ni hapo chuvonanapo
Ukishiba ukishiba, ndripo akili iyapo
Sitoshona sitoshona, sanda mahaba kadhika
Kavechea wenzangu, wasije wakaniteka
Sina nyonda sina nyonda, na kiva nalo