Vitendawili vya Kibajuni (1)
Riddles from the Bajuni community
Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Papo upekeche
Jibu: Ichumbo
Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Papo hukivoni
Jibu: Kishogo
Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Paapaa mpaka nsikichini
Jibu: Dhiachu
Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Usimbo wa bwana ndrefu
Jibu: Nḏia
Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Nna vanangu hutoa asali tu
Jibu: Pua inayotoa kamasi
Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Chega nkuchege
Jibu: Mwiva