Vitendawili vya Kibajuni (2)

Riddles from the Bajuni community

Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Ng’ombe wangu kinshika nkia enenda hoko
Jibu: Kasi

Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Puu haina nshindro
Jibu: Ilifu la nnadhi

Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Papo hukirambi
Jibu: Kivi

Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Nna wanangu havana hisabu
Jibu: Ṉee

Cha ndrove (Kitendawili)
Cha kweche (Tega)
Kitendawili: Nna vanangu ntana huchecha usiku hupachana
Jibu: Nlango