Chusomeni Kibajuni Giredi ya Kwanza

Kiṯabu cha Chusomeni Kibajuni ni sehemu a juhudi a
kulindra na kuimarisha uṯamaduni wa Vabajuni.
Kiṯabu hiki huanḏama kanuni dha CBC ili kuvawedhesha
vasomaji kumakinika ndrani na inde a darasa vachumiapo
Kibajuni.
Baadhi a mambo aliyomo kachika Kiṯabu cha
Giredi ya 1:
• Ṉumbani Kwechu
• Sikuli
• Ṯabia Ṉduri
• Afiya – Uswafi Wa Nvili
• Nyakati Na Dhipindri
Mwongodho wa Mwalimu
Kiṯabu hiki ni mwongodho wa Chusomeni Kibajuni na
ni sehemu a juhudi a kulindra na kuimarisha uṯamaduni wa
Vabajuni.
Kiṯabu hiki huanḏama kanuni dha CBC ili kuvawedhesha
vasomaji kumakinika ndrani na inde a darasa vachumiapo
Kibajuni. Baadhi a mambo aliyomo kachika Kiṯabu cha
Giredi ya 1:
• Ṉumbani Kwechu
• Sikuli
• Ṯabia Ṉduri
• Afiya – Uswafi Wa Nvili
• Nyakati Na Dhipindri